KMC yamsainisha mchezaji huyu Kiungo mshambuliaji wa KMC Hassan Kabunda amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni hadi mwaka 2022.
Kiungo mshambuliaji wa KMC Hassan Kabunda amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni hadi mwaka 2022.
0 comments:
Post a Comment