Friday, July 5, 2019


Kiungo wa Mkenya na klabu ya Gor Mahia, Francis Kahata kutambulishwa muda wowte kwa mabingwa waligi kuu soka Tanzania Bara Simba SC.

Miamba hiyo ya soka ya Tanzania, Simba SC imekuwa ikisubiri mpaka pale timu ya taifa ya Kenya kufikia tamati yake kwenye michuano ya AFCON ndipo imtangaze ramsi Kahata.
Kiungo huyo mshambuliaji amefikia makubaliano na wawakilishi wa Simba huko Cairo nchini Misri, kwa mkataba wa miaka mitatu. Katika makubaliano hayo klabu zake za zamani Thika United  FC na KF Tirana zitapata Kiasi cha Kenya shilingi milioni nne kama ‘bonus’. huku mwenye akivuta mkwanja wa 350,000 sawa na milioni 7 za Kitanzania.

0 comments:

Post a Comment