LEO Vodacom Premier League inarejea mabapo timu kumi zitashuka uwanjani kuanza kutupa kete zao za kwanza msimu mpya wa mwaka 2019/20
Namungo v Ndanda FC uwanja wa Majaliwa
Mbao v Alliance uwanja wa CCM Kirumba
Mbeya City v Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine
Polisi Tanzania v Coastal Union, Uwanja wa Ushirika
Biashara United v Kagera Sugar, Uwanja wa Karume, Musoma.
0 comments:
Post a Comment