PAMBANO la marudiano kati ya Anthony Joshua na Andy Ruiz Jr litafanyika Deaemba 7 mjini Diriyah nchini Saudi Arabia.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa leo, imethibitisha pambano hilo la kuwania mataji ya IBF, WBA na WBO litafanyika Uarabuni mwishoni mwa mwaka.
Jiji la New York na Uwanja wa Cardiff waliwania kuwa wenyeji wa pambano hilo, lakini wakazidiwa kete na Diriyah kufuatia Mamlaka ya Michezo ya Saudi Arabia kuweka kiasi cha dola za Kimarekani Milioni 100 kupewa uenyeji.

0 comments:
Post a Comment