Thursday, August 1, 2019


KUTOKANA na ile kauli ya Uongozi wa Simba kuamua kutumia kauli mbiu ya 'Iga Ufe' kuelekea kwenye tamasha lao la SportPesa Simba Wiki litakalofanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa, huku ikiaminiwa kuwa ni dongo kwa Yanga kiana Yanga nao hawana dogo wao wamekuja na majibu kimyakimya.

Wadau wa Yanga na mashabiki wamekuwa wakiisambaza kwa kasi picha ya tawi lao la Yanga ambalo linaitwa 'Iga Ufe' huku wakidai kwamba wao ni waasisi wa neno 'Iga Ufe', picha la tawi hilo hii hapa:-

0 comments:

Post a Comment