Mshambuliaji
Rodrigo akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika ya
13 na 50 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Faroe Islands kwenye mchezo wa
Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya El Molinon
mjini Gijon. Mabao mengine yalifungwa na Paco Alcacer mawili pia dakika
ya 89 na 90 na ushe
Home
»
»Unlabelled
» HISPANIA YAICHAPA FAROE ISLANDS 4-0 MECHI YA KUFUZU EURO 2020
Monday, September 9, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment