Ratiba ya mechi ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar yapanguliwa
Mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13, 2019 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment