Mshambuliaji
Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la
pili dakika ya 37 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Burnley leo
kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor huo ukiwa
ushindi wa 13 mfululizo kwenye ligi hiyo. Mabao mengine ya Liverpool
yamefungwa na Chris Wood aliyejifunga dakika ya 33 akijaribu kuokoa
krosi ya Trent Alexander-Arnold na Roberto Firmino dakika ya 80
Home
»
»Unlabelled
» LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND
Monday, September 2, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment