Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa michezo miwili na haya ndio matokeo ya mchezo huo; FT: Simba SC 2-1 Mtibwa Sugar. FT: Coastal Union 2-0 KMC FC. ..
0 comments:
Post a Comment