Kagere akikabudhiwa zawadi ya mchezaji bora ya mwezi Agosti Mchezaji wa Simba SC Medie Kagere akikabidhiwa zawadi ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ya Mwezi Agosti. Kagere amenyakua zawadi hiyo baada ya kuwashinda Lucas Kikoti wa Namungo na Seif Karihe wa Lipuli.
Mchezaji wa Simba SC Medie Kagere akikabidhiwa zawadi ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ya Mwezi Agosti. Kagere amenyakua zawadi hiyo baada ya kuwashinda Lucas Kikoti wa Namungo na Seif Karihe wa Lipuli.
0 comments:
Post a Comment