Neymar
akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kusawazisha dakika ya 58
katika sare ya 2-2 na Colombia kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa
Hard Rock mjini Miami, Marekani. Bao la kwanza la Brazil lilifungwa
na Casemiro dakika ya 19, wakati ya Colombia yote yalifungwa na L.
Muriel dakika ya 25 kwa penalti na 34
Home
»
»Unlabelled
» NEYMAR AISAWAZISHIA BRAZIL IKITOA SARE YA 2-2 NA COLOMBIA MAREKANI
Monday, September 9, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment