Mshambuliaji
Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi
dakika ya 87 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya
England leo Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la
Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 13, kabla ya Jorginho kuisawazishia
Arsenal dakika ya 83
Home
»
»Unlabelled
» CHELSEA YAIKANYAGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATES
Monday, December 30, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment