Mshambuliaji
Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee
Liverpool dakika ya 49 ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 katika
mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Ushindi huo
unaifanya Liverpool ifikishe pointi 55 katika mchezo wa 19 na kuendelea
kuongoza EPL kwa pointi 13 zaidi ya Leicester City na 17 zaidi ya
mabingwa watetezi, Manchester Cit
Home
»
»Unlabelled
» MANE AFUNGA BAO PEKEE LIVERPOOL YAILAZA WOLVES 1-0 ANFIELD
Monday, December 30, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment