FT: Simba 2-0 Ndanda
Uwanja wa Taifa
Goal: Kahata dk 13, Kanda 85
Dakika ya 83 Kanda anafunga goal la pili akiwa ndani ya 18 baada ya beki wa Ndanda kugonga shuti lililopigwa na Gadiel Michael .
Dakika ya 71 Ndanda wanaotea
Dakika ya 65 Mzamiru anafanya jaribio linaokolewa na Barthez.
Dakika ya 64 Jonas Mkude anatoka anaingia Mzamiru Yassin
Kipindi cha pili kimeanza kwa sasa
Mapumziko : Simba 1-0 Ndanda
Uwanja:Taifa
Goaal: Kahata dk 13
Dakika 1 inaongezwa
Dakika ya 45 Kenedy Juma anamchezea rafu mchezaji wa Ndanda.
Dakika ya 44 Bocco anafanya jaribio kwa kichwa akimalizia pasi ya Shiboub inaokolewa na Barthez.
Mchezo kwa sasa wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Taifa kati ya Simba na Ndanda ni mapumziko.
Simba inaongoza kwa bao 1-0 lililopachikwa na Francis Kahata dakika ya 13 kwa mpira wa adhabu nje kidogo ya 18 baada ya Sharaf Shiboub kuchezewa rafu.
Mashabiki kiasi chake wamejitokeza kushuhudia pambano la leo Desemba, 31 la kufungia mwaka 2019
0 comments:
Post a Comment