Monday, December 30, 2019


Mmiliki wa club ya Chelsea Roman ibrahimovic amerudishiwa rasmi visa yake ya kuishi nchini uingereza UK. Baada ya kukamilika kwa taratibu zote

Roman mwenye asili ya Russia anatambukika kama mwisraeli kwa sasa na atakuwa akiishi uingereza kama raia kutoka Israel baada ya kukamilisha taratibu hizo roman anakuwa ndiye tajiri no 1 katika nchi ya Israel kwa sasa

Kwa habari za ukweli na uhakika endelea kufuatilia page hii ya habari zote media share zaidi

0 comments:

Post a Comment