Friday, January 17, 2020

Christian Eriksen
Tottenham iko kwenye mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa timu ya taifa ya Cape Verde, Ze Luis, 28 kwa mkopo akitokea Porto.(Record - in Portuguese)
Inter Milan imekubaliana na kiungo Christian Eriksen, 27, kuhusu uhamisho wa kudumu mwezi huu, lakini Tottenham inataka timu hiyo ya ligi ya italia kutoa mara mbili ya dau la pauni 8.5 (Calciomercato - in Italian)
Mkataba wa mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani, 32, umeisha lakini Paris St-Germain imeiambia Atletico Madrid kuongeza dau mpaka pauni milioni 30. (Marca - in Spanish)
Liverpool inajiandaa kutenga pauni milioni 107 kumnasa kiungo wa Bayer Leverkusen Kai Havertz na kuipiku Manchester United,Barcelona na Bayern Munich katika mbio za kumnasa mchezaji huyo raia wa Ujerumani. (Mundo Deportivo, via Mirror)
Washika bunduki na mahasimu wao Tottenham ni miongoni mwa timu tano za primea zinazomuwinda beki wa kati wa Getafe Djene Dakonam,28. (Sun)
Spurs itakabiliana na upinzani kutoka Sevilla mwezi huu kumnasa mshambuliaji wa Poland na timu ya AC Milan Krzysztof Piatek, 24. (Mail)
Manchester United inataka kumshajili kiungo mchezeshaji na kwa mkopo na miongoni mwa wanaowindwa na Mhispaniola Marcos Llorente, 24 , Atletico Madrid. (Manchester Evening News)
Piatek
Barcelona ipo mbioni kumsajili kiungo wa Brazil Matheus Fernandes, 21, kutoka Palmeiras kwa Euro milioni 7 na nyongeza ya Euro milioni 4 kutokana na mafanikio yake yatakavyokua. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Barca pia inafuatilia maendeleo ya kiungo wa Japan Jun Nishikawa,17, ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Cerezo Osaka. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Mlinzi wa pembeni wa AC Milan na Uswizi Ricardo Rodriguez, 27, amechagua kwenda kwa mkopo Fenerbahce na sio PSV Eindhoven huku akitazamia kusajiliwa kabisa kwa Euro Milioni 6. (Calciomercato - in Italian)
Southampton haitamuuza Che Adams kwa kuwa meneja Ralph Hasenhuttl ameomba uongozi kumbakisha kikosini mshambuliaji huyo Muingereza mwenye miaka 23. (Express)
Mlinzi wa pembeni wa Uholanzi Mike van Beijnen, mtoto wa wakala wa kiungo Frenkie de Jong ameondoka Barcelona bila ya kucheza mchezo wowote miezi sita baada ya kujiunga na klabu hiyo kwa Euro milioni 100. (Mail)
Dakonam
Meneja wa zamani wa Chelsea na Spurs Andre Villas-Boas amesema anaweza kuondoka Marseille baada ya mkurugenzi wa zamani wa West Ham na Sheffield Wednesday Paul Aldridge bila kupewa taarifa. . (Le Parisien - in French)
Kiungo wa Rangers Greg Docherty, 23, anataka kujiunga na Sunderland kwa mkopo katika kipindi kilichosalia cha msimu kukilo kwenda Charlton. (Northern Echo)
Uefa imebadili mfumo wa timu bora ya mwaka ya mashabiki ili kumuongeza mshambuliaji wa Juventus na Ureno mwenye miaka 34, Cristiano Ronaldo. (Mail)
Manchester United inataka kumshajili kiungo mchezeshaji na kwa mkopo na miongoni mwa wanaowindwa na Mhispaniola Marcos Llorente, 24 , Atletico Madrid. (Manchester Evening News)
Barcelona ipo mbioni kumsajili kiungo wa Brazil Matheus Fernandes, 21, kutoka Palmeiras kwa Euro milioni 7 na nyongeza ya Euro milioni 4 kutokana na mafanikio yake yatakavyokua. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Barca pia inafuatilia maendeleo ya kiungo wa Japan Jun Nishikawa,17, ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Cerezo Osaka. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Ricardo Rodriguez, 27, amechagua kwenda kwa mkopo Fenerbahce
Mlinzi wa pembeni wa AC Milan na Uswizi Ricardo Rodriguez, 27, amechagua kwenda kwa mkopo to Fenerbahce na sio PSV Eindhoven huku akitazamia kusajiliwa kabisa kwa Euro Milioni 6. (Calciomercato - in Italian)
Southampton haitamuuza Che Adams kwa kuwa meneja Ralph Hasenhuttl ameomba uongozi kumbakisha kikosini mshambuliaji huyo Muingereza mwenye miaka 23. (Express)
Mlinzi wa pembeni wa Uholanzi Mike van Beijnen, mtoto wa wakala wa kiungo Frenkie de Jong ameondoka Barcelona bila ya kucheza mchezo wowote miezi sita baada ya kujiunga na klabu hiyo kwa Euro milioni 100. (Mail)
Meneja wa zamani wa Chelsea na Spurs Andre Villas-Boas amesema anaweza kuondoka Marseille baada ya mkurugenzi wa zamani wa West Ham na Sheffield Wednesday Paul Aldridge bila kupewa taarifa. . (Le Parisien - in French)
Kiungo wa Rangers Greg Docherty, 23, anataka kujiunga na Sunderland kwa mkopo katika kipindi kilichosalia cha msimu kukilo kwenda Charlton. (Northern Echo)
Uefa imebadili mfumo wa timu bora ya mwaka ya mashabiki ili kumuongeza mshambuliaji wa Juventus na Ureno mwenye miaka 34, Cristiano Ronaldo. (Mail)

0 comments:

Post a Comment