Jinamizi la sare laendelea kuikumba Yanga Klabu ya Yanga imeendelea kuvuna pointi moja baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Ushirika, Moshi. FT: Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC.
0 comments:
Post a Comment