TIMU ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.
Nyota
huyi ambaye ni raia wa Ujerumani pia amewekwa kwenye rada za Bayern
Munich ambao kwa muda mrefu walikuwa wanahitaji kuipata saini yake.kabla
hajapata majeruhi kwenye mchezo wa ngao ya Jamii mwezi Agosti.
Tayari
imeelezwa kuwa Bayern Munich wapo kwenye mpango wa kurejea mezani
kuipata saini ya nyota huyo na inaelezwa itakutana na upinzani mkubwa
kutoka kwa timu nyingine zinazoiwinda saini ya mchezaji huyo.

0 comments:
Post a Comment