Tuesday, February 4, 2020

Kobe Bryant looks on during the Lakers NBA match with the Toronto Raptors in California 2015.

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant, 41, na binti yake Gianna, 13, walifariki katika ajali ya helikopta huko California. Na abiria wengine saba walifariki katika ajali hiyo.


 Kobe Bryant during a Lakers game against Portland Trail Blazers in Los Angeles in 2001


Bryant ni bingwa wa mashindano ya NBA mara tano ,
Mchezaji huyo anaelezewa kuwa miongoni wa nyota katika historia ya mpira wa kikapu.
 
 
 Kobe Bryant outpasses Orlando Magic's Mickael Pietrus and Rashard Lewis during the NBA final between Los Angeles Lakers and Orlando Magic.
Haki miliki ya picha Vince Bucci / Getty images
Image caption Bryant alicheza kwenye timu ya Los Angeles Lakers kwa miaka 20 kabla hajastaafu kucheza mwaka 2016.Hapo ilikuwa mwaka 2001
Kobe Bryant of the Los Angeles Lakers celebrates victory following Game 5 of the NBA Finals against the Orlando Magic in Florida in 2009
Haki miliki ya picha Jim Watson / AFP
Image caption Former US President Barack Obama posed with Bryant (centre) and Derek Fisher during an event with the 2008-2009 NBA Champions in 2010.
Former US President Barack Obama poses with Kobe Bryant and Derek Fisher
Haki miliki ya picha Larry W. Smith / EPA
Haki miliki ya picha Christian Petersen / Getty Images
Kobe Bryant slam dunks against the Sacramento Kings during their NBA basketball game in Los Angeles in 2011.
Haki miliki ya picha Mike Nelson / EPA
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mwaka 2018, Bryant alishinda tuzo ya Oscar baada ya kuchaguliwa na filamu yake fupi ya Dear Basketball.Picha inamuonyesha na mke wake Vanessa Laine
Kobe Bryant dunks the ball against Oklahoma City Thunder in Oklahoma City, 2012.
Image caption Bryant akiwa na binti yake aliyefariki naye Gianna

Kobe Bryant slam dunks against Nigeria at the London 2012 Olympic Games

0 comments:

Post a Comment