Wednesday, February 19, 2020



ANDREW Simchimba mshambuliaji wa Azam FC leo amefunga bao mbele ya Ndanda dakika ya 76 na kuipa pointi mja timu yake.

Ndanda ililazna kutangulia kufunga bao la kuongoza kipindi cha kwanza kupitia kwa mshambuliaji wao Vitalis Mayanga dakika ya 10.

Bao hilo limefanya mchezo kukamilia kwa sare ya kufunga bao 1-1 leo kwene mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

 Kigi Makasi nahodha wa Ndanda FC amesema kuwa walikazana kushinda ila bahati haikuwa yao.

0 comments:

Post a Comment