MSHAMBULIAJI wa Juventus inayoshiriki Seria A, ligi ya Italia Cristiano Ronaldo amefunga jumla ya mabao 20.
Ronald ametoa pasi mbili za mabao na kuhusika kwenye jumla ya mabao 22 ya timu yake ambayo imefunga mabao 46.
Ana wastani wa kufunga bao kila baada ya dakika 88 akiwa amecheza dakika 1765.
Juventus ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 57 imecheza mechi 24

0 comments:
Post a Comment