Yanga yaunda kamati mpya tano na kuteua wajumbe wa kamati hizo Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga, chini ya Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla, imeunda Kamati tano pamoja na kuteua wajumbe wa Kamati hizo.
0 comments:
Post a Comment