Legend
wa AC Milan na Mkurugenzi wa ufundi wa club hiyo Paolo Maldini na mtoto
wake Daniel Maldini anayeichezea AC Milan wameambukizwa virusi vya
corona.
Ripoti zinaeleza kuwa Paulo Maldini na mtoto wake
wameshajitenga ili kupunguza au kuondoa uwezekano wa kuambukiza wengi na
wanaendelea vizuri, Daniel ndio amepandishwa timubya wakubwa ya AC
Milan 2020.
0 comments:
Post a Comment