Staa
wa Juventus ya Italia na timu ya taifa ya Argentina Paulo Dybala na
mpenzi wake Oriana waambukizwa virusi vya corona ila wanaendelea vizuri.
Dybala
anakuwa mchezaji wa tatu wa Juventus kuthibitika kuwa na maambukizi ya
virusi vya corona baada ya Daniel Rugani na Blaise Matuidi.
0 comments:
Post a Comment