Bruno
Fernandes (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao
la kusawazisha dakika ya 31 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Everton
waliotangulia kwa bao la Dominic Calvert-Lewin dakika ya tatu kwenye
mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park
0 comments:
Post a Comment