Vinicius
Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika
ya 71 kabla ya Mariano Diaz kufunga la pili dakika ya 90 na ushei
katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Barcelona usiku wa jana Uwanja wa
Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye mchezo wa La Liga. Kwa ushindi
huo, Real Madrid inarejea kileleni La Liga sasa ikiizidi pointi moja
Bacelona (56-55) baada ya wote kucheza mechi 26
Home
»
»Unlabelled
» REAL MADRID YAICHAKAZA BARCELONA 2-0 NA KUREJEA KILELENI LA LIGA
Monday, March 2, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment