Ikiwa ni siku chache tu baada ya Serikali ya ufaransa kupiga marufuku
Mikusanyiko yoyote mpaka mwezi September mwaka Huu, S hirikisho la soka
Ufaransa limeitangaza club ya PSG kuwa ndio Mabingwa wa Ligi Kuu nchini
humo (Ligue 1) 2019/20 .
.
Na pia Shirikisho hilo limesema msimamo wa Ligi ulipofikia ndio unatambulika kama mwisho wa msimu.
.
Na pia Shirikisho hilo limesema msimamo wa Ligi ulipofikia ndio unatambulika kama mwisho wa msimu.
0 comments:
Post a Comment