Kocha wa muda wa Bayern Munich asaini mkataba wa miaka mitatu Kocha wa muda wa Bayern Munich Hansi Flick (55) amesaini mkataba wa kudumu kuifundisha timu hiyo kama kocha mkuu kwa muda wa miaka mitatu hadi mwaka 2023.
0 comments:
Post a Comment