Wednesday, May 27, 2020


KWA upande wa wachezaji wakiwa ndani ya uwanja kazi yao huwa ni moja kutafuta ushindi amba unapatikana kwa kufunga mabao.

Ndani ya Ligi KuuBara kuna wahsambuliaji ambao wamesepa na tuzo zao za ufungaji bora kutokana na kucheka mara nyingi na nyavu.

Hawa hapa tujikumbushe ambao walimaliza msimu wakiwa na mabao mengi kibindoni:-

Mohammed Hussein, (Yanga) mabao 26 (1997).


Meddie Kagere (Simba) mabao 23 (2018/19).



Emanuel Okwi (Simba), mabao  20 (2017/18).

Amiss Tambwe (Yanga) mabao 21 (2015/16).

Simon Msuva (Yanga) mabao  17 (2014/15) 

Amiss Tambwe (Simba) mabao 19 (2013/14).


Kipre Tshetche (Azam) mabao 17 (2012/13).

John Bocco (Azam) mabao 19 (2011/12) 

Mrisho Ngassa (Yanga) mabao 18 (2010/11)

Mussa Mgosi (Simba) mabao 18 (2009/10) 

Boniface Ambani (Yanga) mabao 18 (2008/09) 

Abdalah Juma, (Mtibwa) mabao 25 (2005).

0 comments:

Post a Comment