SERIKALI
leo, Mei 31 imetoa mwongozo wa kufuata katika michezo ya ligi kuu za
soka nchini ambazo zinatarajiwa kuanza Juni Mosi, 2020.
Katibu Mkuu Wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na MsemajI Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas amesema kuwa ni muhimu kuzingatia na kwa yoyote atakayekiuka taratibu hizo hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

0 comments:
Post a Comment