Bruno
Fernandes akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United
dakika ya 95 kwa penalti kufuatia Anthony Martial kuangushwa na Andreas
Bjelland kwenye boksi, Mashetani Wekundu wakiibuka na ushindi wa 1-0
dhidi ya Copenhagen usiku wa jana Uwanja wa RheinEnergie Jijini,
Cologne, Ujerumani katika mchezo wa mkondo mmoja wa Robo Fainali ya UEFA
Europa League. Nusu Fanali itachezwa Jumapili ya Agosti 16 na Man
United sasa watakutana na mshindi kati ya Wolverhampton Wanderers na
Sevilla zinazomenyana leo
0 comments:
Post a Comment