Winga
Mbrazil, Willian akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kusaini
mkataba wa miaka mitatu kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba
wake Chelsea na atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 220,000.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka Chelsea baada ya kuitumikia kwa miaka sabana amekabidhiwa jezi namba 12 The Gunners
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka Chelsea baada ya kuitumikia kwa miaka sabana amekabidhiwa jezi namba 12 The Gunners

0 comments:
Post a Comment