Saturday, August 15, 2020


Trent Alexander-Arnold ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu ya Englandm 

ALIOWASHINDA  ALEXANDER-ARNOLD

Jack Grealish (Miaka 24) - Aston Villa
Mason Greenwood (Miaka 18) - Manchester United
Dean Henderson (Miaka 23) - Sheffield United
Anthony Martial (Miaka 24) - Manchester United
Mason Mount (Miaka 21) - Chelsea
Christian Pulisic (Miaka 21) - Chelsea
Marcus Rashford (Miaka22) - Manchester United 
KINDA wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi Ligi Kuu ya England.
Washambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, Mason Greenwood na Anthony Martial wote waliingia katika orodha ya wachezaji wanane wa mwisho, lakini wameangushwa na Alexander-Arnold. 
Alexander-Arnold amekuwa beki tegemeo wa pembeni kwenye kikosi cha kocha Mjerumani, Jurgen Klopp akitoa mchango mzuri kwenye ubingwa, kwani licha ya kulinda vizuri, ametoa pasi 13 za mabao. 

 

0 comments:

Post a Comment