Sunday, September 20, 2020



Jadon Sancho (kushoto) akimpongeza Erling Haaland baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika ya 54 kwa penalti na lingine dakika ya 77 akimalizia pasi ya mchezaji mwenzake huyo
 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Signal-Iduna-Park, Jijini Dortmund. Bao la kwanza la Borussia Dortmund limefungwa na Giovanni Reyna dakika ya 35

 

0 comments:

Post a Comment