IBRAHIMOVIC APIGA ZOTE MBILI AC MILAN YANG'ARA SERIE A MABAO ya Zlatan Ibrahimovic dakika ya 35 na 51 usiku wa jana yametosha kuipa AC Milan ushindi wa 2-0 dhidi ya Bologna katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan
0 comments:
Post a Comment