Mabao
ya Juan Mata kwa penalti dakika ya 44, Marcus Rashford dakika ya 88,
Mason Greenwood dakika ya 90 na ushe yameipa Manchester United ushindi
wa 3-0 dhidi ya Luton Town Uwanja wa Kenilworth Road katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup
0 comments:
Post a Comment