MSHAMBULIAJI
Lionel Messi akipongezwa baada ya kuifungia Barcelona mabao
mawili dakika ya 45 na 51 na kuseti moja lililofungwa na Philippe
Coutinho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa kirafiki
jana Uwanja wa Johan Cruyff, bao la wageni likifungwa na Samuel Saiz
dakika ya 46
0 comments:
Post a Comment