Wachezaji
wa Simba SC wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon,
mabao ya Chris Mugalu dakika ya 47 na Charles Ilamfya dakika ya 54
katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi
nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment