RAIS WA TFF, KARIA AWAONYESHA ENEO LA KIGAMBONI WALIOSHINDA TENDA YA UJENZI WA VITUO VYA SOKA RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akiwaonyesha eneo la Kigamboni Maofisa wa Kampuni ya Group Six International ambayo imeshinda tenda ya ujenzi wa Vituo vya Tanga na Kigamboni unaotarajia kuanza Oktoba 1, 2020
0 comments:
Post a Comment