Saturday, September 26, 2020


Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mkongo Tuisila Kisinda baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjino Morogoro mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumapili Uwanja wa Jamhuri mjini humo 


Kipa Mkenya wa Yanga SC, Farouk Shikhalo baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjini Morogoro mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumapili Uwanja wa Jamhuri mjini humo

 

0 comments:

Post a Comment