ZLATAN AFUNGA AC MILAN YASHINDA 2-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE MABAO ya Zlatan Ibrahimovic na kiungo wa Uturuki, Hakan Calhanoglu usiku wa jana yaliipa AC Milan ushindi wa 2-=0 dhidi ya Shamrock Rovers na kutinga Raundi ya Tatu ya Europa
0 comments:
Post a Comment