MECHI YA YANGA NA MBAO ASFC SASA MWANZA MCHEZO wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baina ya Yanga SC na Mbao FC uliopangwa kufanyika Dar es Salaam Jumamosi sasa utafanyika Mwanza siku hiyo hiyo.
0 comments:
Post a Comment