MESSI ALIVYOFURAHIA NA FAMILIA YAKE KUTIMIZA MIAKA 30 JANA na alanus Nyota wa Barcelona, Muargentina Lionel Messi akiwa na mpenzi wake, Antonella Roccuzzo na mwanawe wa kiume, Thiago mbele ya keki maalum wakati akisherehekea kutimiza miaka 30 jana
0 comments:
Post a Comment