RONALDO TAYARI KWA NUSU DHIDI YA CHILE KOMBE LA MABARA na alanus Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristano Ronaldo akilainisha viungo vyake kuelekea mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mabara dhidi ya Chile keshokutwa Uwanja wa Kazan Arena mjini Kazan, Urusi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment