Monday, June 26, 2017



Details
Created: Monday, 26 June 2017 07:40
alanus

>NUSU FAINALI NI PORTUGAL-CHILE, GERMANY-MEXICO!

 

 CHILE na Germany wametinga Nusu Fainali ya Mashindano ya FIFA ya Kombe la Mabara baada ya Jana kumaliza Mechi zao za Kundi B.
Germany wametwaa ushindi wa Kundi B baada kuichapa Cameroon 3-1 na Chile kushika Nafasi ya Pili baada kutoka Sare 1-1 na Australia.
Jumatano ijayo, Portugal itaivaa Chile kwenye Nusu Fainali ya Kwanza huko Russia na Germany kucheza na Mexico Alhamisi kwenye Nusu Fainali ya Pili.
Australia Jana walitangulia kuifunga Chile kupitia James Troisi na Mchezaji alietokea Benchi Martin Rodriguez kuisawazishia Chile.
Germabny waliichapa Cameroon 3-1 kwa Bao 2 za Mchezaji wa RB Leipzig Timo Werner na Mchezaji wa Hoffenheim Kerem Demirbay kufunga Moja.
Bao pekee la Cameroon lilipachikwa na Forward wa FC Porto ya Ureno Vincent Aboubakar.
++++++++++++++++
FIFA KOMBE LA MABARA
Ratiba/Matokeo:
Hatua ya Kwanza
Jumamosi Juni 17
KUNDI A
Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg
Russia 2 New Zealand 0
Jumapili Juni 18
KUNDI A
Kazan Arena, Kazan
Portugal 2 Mexico 2
KUNDI B
Spartak Stadium, Moscow
Cameroon 0 Chile 2
Jumatatu Juni 19
KUNDI B
Fisht Stadium, Sochi
Australia 2 Germany 3
Jumatano Juni 21
KUNDI A
Spartak Stadium, Moscow
Russia 0 Portugal 1
Fisht Stadium, Sochi
Mexico 2 New Zealand 1
Alhamisi Juni 22
KUNDI B
Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg
Cameroon 1 Australia 1
Kazan Arena, Kazan
Germany 1 Chile 1
Jumamosi Juni 24
KUNDI A
Kazan Arena, Kazan
Mexico 2 Russia 1
Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg
New Zealand 0 Portugal 4
Jumapili Juni 25
KUNDI B
Fisht Stadium, Sochi
Germany 3 Cameroon 1
Spartak Stadium, Moscow
Chile 1 Australia 1
Hatua ya Pili
Nusu Fainali
Jumatano Juni 28
Kazan Arena, Kazan
2100 Portugal v Chile [NF1]
Alhamisi Juni 29
Fisht Stadium, Sochi
2100 Germany v Mexico [NF2]
Mshindi wa 3
Jumapili Julai 2
Spartak Stadium, Moscow
1500 Atakaefungwa NF1 v Atakaefungwa NF2
FAINALI
Jumapili Julai 2
Saint Petersburg Stadium, Saint Petersburg
2100 Mshindi NF1 v Mshindi NF2

0 comments:

Post a Comment