Mshambuliaji
mpya aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 75 Manchester United, Romelu
Lukaku (kulia) akimpongeza mchezaji mwenzake mpya, Henrikh Mkhitaryan (kushoto) baada ya kufunga bao la nne katika ushindi wa 5-2 dhidi ya LA
Galaxy asubuhi hii Uwanja wa Stubhub Center mjini Carson, California,
Marekani. Lukaku alitokea benchi katika mechi hiyo ya kwanza kuichezea
Man United kwenda kuchukua nafasi ya Marcus Rashford dakika ya 46
Home
»
»Unlabelled
» MECHI YA KWANZA TU, LUKAKU ACHANIWA JEZI MAN UNITED
Monday, July 17, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment