Cristiano
Ronaldo akikimbia mapema Jumatatu baada ya kuanza rasmi mazoezi ya
kujiweka fiti kabla ya kujiunga na timu yake, Real Madrid kufuatua
mapumziko zaidi ya msimu mpya kutokaa na kuwa kwenye michuano ya Kombe
la Mabara nchini Urusi Juni mwaka huu
0 comments:
Post a Comment