Jupp Heynckes mwenye umri wa miaka 72 jana akiiongoza kwa mara ya kwanza Bayern Munich baada ya kurejea kuchukua nafasi ya Carlo Ancelotti aliyeondolewa ikishinda 5-0 dhidi ya Freiburg katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena. Mabao yalifungwa na Kingsley Coman, Thiago, Robert Lewandowski, Joshua Kimmich la kujifunga la Julian Schuste
Home
»
»Unlabelled
» BABU HEYNCKES AREJEA NA MAAJABU YAKE, BAYERN YASHINDA 5-0
Sunday, October 15, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment