Mshambuliaji Wayne Rooney akipiga penalti kuifungia bao la kusawazisha Everton dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa The American Express Community mjini Falmer, East Sussex. Bao la Brighton lilifungwa na Anthony Knockaert dakika ya 82
Home
»
»Unlabelled
» ROONEY AISAWAZISHIA EVERTON KWA PENALTI DAKIKA YA 90
Monday, October 16, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment