Mshambuliaji
wa Manchester United, Romelu Lukaku akitolewa nje huku amefungwa kifaa
maalum cha kupumulia dakika ya 14 tu baada ya kuumia leo kwenye mchezo
wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Southampton Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya 0-0
0 comments:
Post a Comment